Familia zazidi kujitokeza kuwatafuta wapendwa wao wanadaiwa kuwa wafuazi wa mhubiri Paul Mackenzi

  • | Citizen TV
    953 views

    Familia zinazidi kujitokeza kuwatafuta wapendwa wao wanadaiwa kuwa wafuazi wamhubiri tata Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International kufuatia madai kuwa aliwaelekeza waumini kufunga kula na kunywa na kusababisha vifo vya angalau watu sita. Katika eneo la Mariwenyi eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta, familia moja inasema kijana wao aliuza kila kitu akitarajia kuelekea paradiso.