Watu zaidi ya milioni 300 kote ulimwenguni huathirika na ugonjwa wa osteoarthritis

  • | K24 Video
    44 views

    Mtindo mpya wa maisha na lishe duni ni mojawapo ya sababu kuu za kupata uzani, na husababisha shinikizo lisilohitajika katika viungo na hatimaye kusababisha osteoarthritis. Shirika la afya duniani linakadiria kwamba hali hii inaathiri zaidi ya watu milioni 300 kote ulimwenguni. leo, katika makala ya siha yangu. Simulizi ya Bakari Said, ambaye amekumbana moja kwa moja na hali hii ya osteoarthritis.