Familia zilizoathirika na ubomoaji Mavoko zinateseka

  • | Citizen TV
    11,784 views

    Ni miezi miwili sasa tangu ubomoaji wa majengo na kufurushwa kwa familia zilizokuwa zikiishi katika ardhi ya East African Portland Cement iliyoko eneo la Mavoko Kaunti ya Machakos. Tangu wakati huo, masaibu ya familia zilizoathirika yanaendelea.