Familia zilizowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano zalia

  • | Citizen TV
    13,358 views

    Familia za waliopoteza maisha yao kwenye maandamano ya upinzani katika kaunti za Makueni na Nakuru zimeelezea dhiki zinazopitia kufuatia matukio ya hapo jana. Katika kaunti ya Makueni, familia ya Peter Muthoka inalilia haki baada ya mwana wao kupigwa risasi kifuani na kufariki. Na huko Nakuru jamaa za Benjamin Imbui pia wanaomboleza kifo cha mpendwa wao