Skip to main content
Skip to main content

Farouk Kibet aongoza kampeni za UDA West Kabras

  • | Citizen TV
    711 views
    Duration: 1:29
    Huku Uchaguzi mdogo wa tarehe 26 mwezi huu ukikaribia, msaidizi wa rais Farouk Kibet , mbunge wa Malava David Ndakwa pamoja na wawakilishi wengine wa wadi wanaongoza kampeni ya kumpigia debe mgombea wa UDA wa kiti cha MCA cha West Kabras Elphas Shalakha.