Skip to main content
Skip to main content

Fatuma abdirahman adai alipokonywa umiliki wa ardhi yake Garisa, huku mshukia hajakamatwa na polisi

  • | Citizen TV
    3 views
    Mama mmoja kutoka kijiji cha Bula viungani mwa mji wa Garissa, analilia haki baada ya kesi yake ya ulaghai wa ardhi kukosa kuwasilishwa mahakamani kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.