- 289 viewsDuration: 1:25Kenya imemaliza katika nafasi ya pili kwenye kinyang'anyiro cha fifa series baada ya kushindwa 2-0 na australia kwenye fainali iliyochezwa uwanjani nyayo. Awali timu ya india ilimaliza katika nafasi ya tatu baada ya kuipiku malawi kwa maba0 3-2.