Skip to main content
Skip to main content

FKF yataka maslahi ya wachezaji kupewa kipaumbele

  • | Citizen TV
    94 views
    Rais wa Shirikisho la Soka nchini (FKF) Hussein Mohammed ametaka maslahi ya wachezaji kupewa kipaumbele katika kukuza mchezo wa soka barani Afrika. Alizungumza katika kongamano la Afrika la FIFPRO 2026 hapa jijini Nairobi.