- 26,434 viewsDuration: 28:10Wizara ya mambo ya kigeni ya Tanzania imewahakikishia raia wa nchi hiyo kwamba uhusiano kati ya taifa hilo na Umoja wa Ulaya uko imara. Haya yanajiri siku moja baada ya kamati za bunge la umoja wa Ulaya kupigia kura hoja ya ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Tanzania. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw