Skip to main content
Skip to main content

FKF yatangaza mechi baina ya Nairobi United na Gor Mahia kuwa sare

  • | Citizen TV
    228 views
    Duration: 1:21
    Kamati ya ligi na mashindano ya FKF imeamua kwamba mechi ilitibuka kati ya Nairobi united na Gor Mahia itangazwe kuwa sare kulingana na matokeo wakati mchezo huo ulipositishwa. Katika uamuzi wa kushangaza wa shirikisho, kesi hiyo imeamuliwa na kamati ya ligi na ushindani, na wala sio kamati ya nindamu