Fox News yakubali kuilipa kampuni ya mashine za kupigia kura ya Dominion dola milioni 787

  • | Citizen TV
    850 views

    Shirika la habari la Fox News limekubali kuilipa kampuni ya mashine za kupigia kura ya Dominion dola milioni 787 kufuatia kesi kuhusu kashfa uchaguzi wa urais wa mwaka 2020.