- 118 viewsDuration: 2:27Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewahimiza wawekezaji wa humu nchini na wale wa kimataifa kushirikiana na sekta ya kibinafsi kwa minajili ya ukuaji wa kiuchumi humu nchini. Akizungumza jijini Nairobi wakazi wa uzinduzi wa hati ya mpango wa uwekezaji na utumaji pesa kwa njia ya kidijitali Mudavadi aliye pia waziri wa mashauri ya nchi za kigeni na maswala ya ughaibuni alisema kuwa sekta ya kibinafsi ndio kichocheo kikuu cha kubuni nafasi za ajira, ubunifu na ukuaji endelevu wa kiuchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive