Gachagua adai serikali ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta ilishirikiana kuiba shilingi bilioni 16

  • | Citizen TV
    1,374 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua sasa anadai kuwa serikali ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta ilishirikiana kuiba kitita cha shilingi bilioni 16 kabla ya kumkabidhi rais william ruto mamalaka. Naibu rais amesema kuwa hatua hiyo imechangia kuzoroteka kwa uchumi wa taifa.