Gachagua akanusha madai ya upinzani kupindua serikali

  • | KBC Video
    6,030 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali madai kuwa upande wa upinzani unapanga njama ya kuchukua mamlaka kinyume na katiba. Akizungumza jijini Nairobi leo alasiri, kiongozi huyo wa Chama cha Democracy for Citizens alisisitiza kuwa kundi hilo linajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 na linalenga kushinikiza utawala bora na mageuzi ya kidemokrasia kabla ya uchaguzi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive