Skip to main content
Skip to main content

Gachagua akosolewa na kiongozi wa chama cha NLP

  • | Citizen TV
    5,620 views
    Duration: 1:07
    Kiongozi wa Chama cha National Liberal Party (NLP), Dkt. Augustus Muli, amemkosoa vikali aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kwa kuwa na msimamo usio dhabiti katika siasa za eneo la Ukambani. Akizungumza katika mkutano wa chama hicho, Dkt. Muli Dkt. Muli amesema kuwa kiongozi huyo wa chama cha DCP sasa anaunga mkono viongozi aliowahi kuwalaumu kwa kurudisha nyuma maendeleo ya Ukambani. Kulingana naye, hatua hiyo inaonyesha ukosefu wa msimamo kisiasa.