Gachagua apata pigo mahakamani, jopo la majaji lakataa kubatilisha kiapo cha Kindiki

  • | Citizen TV
    7,895 views

    ALIYEKUWA NAIBU RAIS RIGATHI GACHAGUA ALIPATA PIGO JINGINE TENA MAHAKAMANI LEO, BAADA YA MAJAJI WATATU ERIC OGOLA, ANTONY MRIMA NA DKT. FREDA MUGAMBI KUDINDA KUBATILISHA KIAPO CHA PROF. KITHURE KINDIKI KAMA NAIBU RAIS. MAHAKAMA SASA IKISEMA MATUKIO HAYO YALIKUWA YAMEPITWA NA WAKATI. KESI HIYO YA KUANGAZIA KUTIMULIWA OFISINI KWA GACHAGUA MWAKA JANA, INATARAJIWA KUNG'OA NANGA RASMI BAADAYE MWAKANI, BAADA YA KUWASILISHWA KWA OMBI HILO LA KUPINGA JOPO LA MAJAJI HAO WATATU