- 1,136 viewsKinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa anasema kuwa mswada wa fedha wa mwaka wa 2026 unapania kuangamiza wafanyabiashara wadogo nchini. Gachagua anasema kuwa mswada huo haujazingatia kilio cha Wakenya wa kawaida wala kuangazia hali ya uchumi nchini. Gachagua anataka mswada huo utupiliwe mbali.