Skip to main content
Skip to main content

Gachagua asema kuwa alitimuliwa kinyume na katiba ya Kenya

  • | Citizen TV
    2,283 views
    Duration: 2:22
    Mawakili wa bunge la seneti kwenye kesi ya kutimuliwa kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi gachagua waiambia mahakama kuwa seneti ilifuata sheria kwenye mchakato wa kumtimua Gachagua. Kupitia mawakili wake, Gachagua aliiambia mahakama kwamba aliondolewa ofisini kinyume cha sheria na hivyo anapaswa kulipwa mshahara na marupurupu ya zaidi ya shilingi milioni 80, ya mienzi 35 ambayo angehudumu akiwa naibu rais katika muhula wa kwanza wa rais William Ruto.