- 22,068 viewsDuration: 3:23Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ametoa makataa ya siku Saba kwa Rais William Ruto Kushusha bei ya mafuta nchini la Sivyo wakenya waandamane kote nchini. Gachagua ambaye alikuwa Nairobi amedai kwamba kupandishwa kwa bei ya mafuta nchini ni dhuluma kubwa kwa wananchi na kuitaka serikali kuondoa ushuru wote wa mafuta ili bei ipungue.