Gachagua aunga mkono maoni ya Marekani kuhakiki ushirikiano wake na Kenya katika NATO

  • | Citizen TV
    3,371 views

    Aliyekuwa Naibu rais Rigathi Gachagua ametangaza kuunga mkono hatua ya Marekani kuchambua upya uamuzi wake kuhusu ushirikiano wa Kenya na Marekani katika muungano wa NATO. Akizungumza kwenye kikao cha mahojiano na wanahabari nchini Marekani, Gachagua amesema Marekani inafaa kusitisha uhusiano huo kutokana na kile anasema ni maovu yaliyofanywa na serikali ya Kenya ikiwemo utekaji nyara na mauaji