- 17,404 viewsDuration: 2:46Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, amesema kiongozi yeyote wa upinzani atakayeondoka na kujiunga na serikali atakuwa adui wa Wakenya. Gachagua, aliyezungumza nchini Marekani, ameendelea kushikilia kuwa upinzani ni lazima uafikie mgombea mmoja ili kupigania kumuondoa Rais William Ruto mamlakani mwaka ujao. Seth Olale ana taarifa kamili.