- 140 viewsDuration: 4:32Upinzani umeahidi kuendelea kuungana na kupinga kile wanachodai kuwa ni njama za serikali kuuvunja muungano wao kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027. Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wamesema wako tayari kumkabili Rais Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Haya yanajiri baada ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kudai kuwa mafanikio ya serikali yake yanafutiliwa mbali na serikali ya sasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive