Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: Tutamshabikia mwaniaji mmoja wa urais 2027

  • | KBC Video
    1,497 views
    Duration: 3:01
    Viongozi wakuu wa mrengo wa upinzani wamewahimiza vijana nchini kujisajili kwa wingi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Wakizungumza maeneo tofauti, kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka pamoja na mwenzake wa chama cha DCP Rigathi Gachagua walisema upinzani utamteua mwaniaji mmoja atakayekabiliana na rais William Ruto katika kile walichotaja kuwa uchaguzi wa kipekee wa mapinduzi wa mwaka 2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive