Gari yagonga treni Poland

  • | BBC Swahili
    3,176 views
    Tazama dereva huyu wa gari alivyonusurika kimiujiza baada ya Treni kuvamia gari lililokwama ndani ya kizuizi cha treni huko Polanda. Dereva wa gari hilo alikaribia kivuko cha treni muda mfupi tu kabla hakijafungwa na kushindwa kurudi alikotoka baada ya kuchelewa hivyo ikambidi kuweka gari pembeni lakini haikusaidia. Dereva alitoka bila kujeruhiwa kwa namna isiyo ya kawaida baada ya treni kuharibu gari hiyo vibaya kwenye kivuko. Maafisa wanawataka madereva kuwa makini sana wanapokaribia kivuko cha reli kwani treni haigongi bali inagongwa je hii ni kweli? #bbcswahili #poland #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw