Gavana Achani asema serikali ya kaunti ya Kwale itatwaa ardhi kubwa za wamiliki wasiotambulika

  • | Citizen TV
    188 views

    Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema serikali ya kaunti hiyo itatwaa ardhi kubwa za wamiliki wasiotambulika na ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu.