Gavana awakabidhi wavuvi, wahudumu baharini boti mbili

  • | Citizen TV
    86 views

    Gavana wa Kwale, Fatuma Achani, amewakabidhi wavuvi na wahudumu wa baharini boti mbili, vifaa vya uvuvi na majokofu ya kuhifadhia Samaki