Gavana Eric Mutai abanduliwa yakutuhumiwa kwa makosa kadhaa

  • | Citizen TV
    5,068 views

    Gavana wa kericho Dkt. Eric Mutai ametimuliwa na bunge la kaunti hiyo baada ya wawakilishi wodi 31 kati ya 47 kupiga kura ya kumg'atua ofisini. Gavana Mutai anatuhumiwa kwa misingi ya ukiukaji wa katiba, matumizi mabaya ya ofisi, uasherati miongoni mwa mengine.