Gavana Fernandes Barasa aitaka serikali kuu kuharakisha kutuma mgao wa fedha wa kaunti

  • | Citizen TV
    329 views

    Mwenyekiti wa kamati ya fedha ya baraza la magavana ambaye pia ni gavana wa Kakamega Fernandes Barasa ameitaka serikali kuharakisha kutuma mgao wa fedha wa kaunti. kulingana naye, serikali za kaunti zinaidai hazina ya kitaifa zaidi ya shilingi bilioni 90 za miezi mitatu iliyopit