Gavana George Natembeya ajitetea kwa tuhuma za kumshawishi Rais Ruto kuhusu ardhi ya Gereza la Kital

  • | West TV
    76 views
    Gavana wa kaunti ya trans nzoia george natembeya amewaonya baadhi ya wanasiasa wanaotumia fursa ya utata wa shamba la takribani ekari alfu tatu linaloaminika kuwa la idara ya magereza kumpaka tope kwa kumhusisha kuwa ndiye anayesukuma kufurushwa kwa wakazi hao