Gavana George Natembeya atetewa na kina Mama baada ya kutakiwa kufika mbele ya NCIC

  • | West TV
    277 views
    Siku moja tu baada ya gavana wa transnzoia george natembeya kudokeza kuwa atajiwasilisha mbele ya tume ya uwiano na maridhiano ya ncic juma lijalo, kina mama kaunti hiyo wamejitokeza kukashifu hatua ya gavana huyo kuitwa mbele ya tume hiyo