Gavana Johnson Sakaja ahojiwa kuhusiana na matumizi ya kaunti

  • | Citizen TV
    3,413 views

    gavana wa Nairobi Sakaja Arthur Johnson, anahojiwa na kamati ya seneti kuhusu uhasibu kuhusiana na ripoti ya matumizi ya fedha za kaunti ya mwaka 20/21, na 21/22. Sakaja ametakiw akujieleza kuhusu kususia vikao kadhaa kama hivyo ambapo amesema kuwa alikuwa kwenye safari za kikazi. tusikize yanayojiri.