Gavana Jonathan Bii asema idara ya afya kaunti ya Uasin Gishu ina wafanyakazi hewa wengi

  • | Citizen TV
    535 views

    Gavana wa Kaunti ya uasin Gishu Jonathan Bii, amesema kuna wafanyikazi hewa wengi katika kaunti hiyo haswa katika wizara ya afya. Bii amesema shughuli ya kuwahesabu wafanyikazi wa kaunti hiyo itaanza hivi karibuni kubaini idadi kamili ya wafanyikazi wa kaunti.