- 8,324 viewsDuration: 3:28Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga amejiuzulu rasmi kama Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Magavana nchini, akisema matamshi yake ya hapo jana yaliyoonekana kushabikia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, yalieleweka vibaya. Aidha si mara ya kwanza kwa gavana huyo ambaye ana ulimi telezi kugonga vichwa vya habari kwa matamshi yake.