Gavana Kenneth Lusaka azindua chumba cha wagonjwa mahututi Hopkins huko Bungoma

  • | Citizen TV
    117 views

    Serikali ya kaunti ya Bungoma imewataka wawekezaji katika sekta ya afya kupanua huduma zao na kuwafikia wateja katika kila eneo bunge katika juhudi za kuimarisha afya kwa umma Bungoma.