Skip to main content
Skip to main content

Gavana Mbarire ahojiwa

  • | Citizen TV
    2,952 views
    Duration: 2:39
    Maswali yanaendelea kuibuliwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma katika Kaunti ya Embu , uchunguzi ukibaini kuwa shilingi milioni kumi zilizotengwa maendeleo ya viwanda zilitumiwa kugharamia mkutano wa kisiasa. Pesa hizo zilitumiw akugharamai mkutano wa kuwawezesha wahudumu wa bodaboda kaunti ya Embu. Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amekiri kuidhinisha utoaji wa fedha hizo huku maseneta wakionya kuhusu utumizi mbaya wa fedha za maendeleo.