Gavana Mutai aponea chupuchupu kuondolewa kutoka mamlakani

  • | Citizen TV
    2,208 views

    Gavana wa Kericho DKT. Erick Mutai sasa anaahidi kuimarisha utoaji huduma kwa wakaziwa kaunti hiyo baada ya kunea chupuchupu kuondolewa kutoka mamlakani hapo jana. Mutai ametetea rekodi yake na kuahidi kuweka nguvu zake kutimiza ahadi alizotoa kwa wakazi