Gavana Mutula Kilonzo Jnr asema kaunti itasimamia mazishi ya waliofariki lori liliposombwa na maji

  • | Citizen TV
    1,228 views

    Maandalizi ya mazishi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa Lori kusombwa na mto Kwa muswii kwenye barabara ya Sultan Hamud kwenda kasikeu kaunti ya Makueni yameanza huku gavana wa Makueni Mutula kilonzo jnr akiahidi kuwa serikali ya kaunti itasimamia baadhi ya gharama za mazishi