Gavana Mutula Kilonzo Jr awataka waahiriwa kuripoti visa vya dhuluma za kimapenzi

  • | KBC Video
    16 views

    Gavana wa kaunti ya Makueni, Mutula Kilonzo Junior anawataka wafanyakazi waliopandishwa vyeo hivi majuzu kwa mikataba ya kudumu kuripoti visa vyovyote vya unyanyasaji kingono kutoka kwa wakuu wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive