Gavana Nassir aitaka bunge la kaunti Mombasa kupitisha mswada ya hazina ya ardhi

  • | Citizen TV
    160 views

    Gavana wa mombasa Abdulswamad Shariff Nasir amelitaka bunge la kaunti kupitisha mswada wa hazina ya ardhi unaolenga kutatua suala la migogoro kuhusu umiliki wa ardhi na hati miliki.