Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, ameendelea kuzua vumbi la kisiasa baada ya kumshambulia vikali baraza la mawaziri la rais William Ruto, akidai kuwa mawaziri hao ni hawana ujasiri na wanashindwa kumshauri rais kwa uwazi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya