Skip to main content
Skip to main content

Kifo cha Mkenya Saudi Arabia chazua wito wa msaada wa serikali kwa familia

  • | Citizen TV
    4,075 views
    Duration: 2:14
    Familia moja huko gede kwa shume kaunti ya kilifi inaiomba serikali kuwasaidia kusafirisha mwili wa mpendwa wao aliyefariki katika hali tatanishi nchini saudi arabia alikokuwa akifanya kazi. Jacinta mueni muinde alifariki mwezi novemba na kifo chake kimezua maswali mengi baada ya kudaiwa kuanguka kisha kufariki siku nne baadaye.