Gavana Sakaja akutana na wawakilishi wa ODM

  • | K24 Video
    834 views

    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja anaonekana kufanya juu chini kukatiza mpango wa kumngátua mamlakani. Sakaja alifanya mkutano na wawakilishi wadi wa ODM baada ya kukutana na kinara wa ODM Raila Odinga. Mkutano huu unadaiwa kuwa mpango wa kuwashawishi wawakilishi wadi hao kutupilia mbali hoja hiyo.