2,390 views
Duration: 2:51
Kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga leo alichukua hatua za kukomesha mihemko inayozingira juhudi za kung’atuliwa mamlakani kwa gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, akiwaomba wawakilishi wadi wa bunge la kaunti hiyo kutanguliza mashauriano pamoja na utoaji huduma mbele ya siasa. Katika mazungumzo baina ya wanachama wa ODM, wabunge wa bunge la kaunti hiyo pamoja na gavana Sakaja, mirengo yote miwili iliafikiana kusuluhisha swintofahamu iliyopo ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News