Gavana Sakaja arekebisha taarifa yake ya awali kuhusu urefu wa orofa

  • | KBC Video
    54 views

    Marufuku ya ujenzi wa majumba marefu katika jiji la Nairobi imeondolewa na sasa majumba yanaweza kujengwa hadi kufikia ghorofa 25. Hata hivyo, akitangaza hatua hiyo, gavana wa Nairobi Johnson Sakaja, aliweka wazi kuwa hatua hiyo ni mahsusi kwa maeneo yaliyokaribu na kambi ya Moi Airbase, mtaani Eastleigh, jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive