Skip to main content
Skip to main content

Gavana Sakaja asaini mkataba na serikali ya kitaifa, Nairobi yapatiwa shilingi bilioni 80

  • | Citizen TV
    7,072 views
    Duration: 4:55
    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja hatimaye ametia saini mkataba wa ushirikiano na serikali ya kitaifa ambayo sasa itatekeleza baadhi ya majukumu yake. Mkataba huo utakaoanza kutekelezwa siku kumi na nne kuanzia hii leo, utaipa kaunti ya nairobi shilingi bilioni 80 zaidi kuimarisha sekta mbalimbali jijini. Rais William Ruto na gavana Sakaja inasema hatua itasaidia kuimarisha huduma za jiji kuu