Gavana Simba Arati afanya uteuzi

  • | Citizen TV
    3,976 views

    Gavana Simba Arati hatimaye amemteua anayempendekeza kuwa naibu gavana wa kaunti ya Kisii. Jina la Elijaa Obebo, ambaye ni mwenyekiti wa bodi ya kuajiri wafanyikazi kisii limewasilishwa katika bunge la launti ya kisii kama ambaye anapendekezwa kumrithi aliyekuwa naibu gavana Dkt Robert Monda