Waathiriwa wa maporomoko ya ardhi Murang’a waiomba serikali kuwasaidia kuhamia maeneo salama.

  • | K24 Video
    152 views

    Waathiriwa wa maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Kiganjo eneo bunge la Mathioya kaunti ya Murang’a wameiomba serikali kuwasaidia kuhamia maeneo salama. Waathiriwa hao wanaoshi katika kambi ya shule ya msingi ya Ngutu wanakumbuka walivyokuwa wanaishi katika nyumba zao kwa furaha na amani kabla ya janga hilo la jumapili usik