Gavana wa Baringo Cheboi atoa wito kwa washikadau kuungana kukuza sekta ya utalii

  • | NTV Video
    68 views

    Gavana wa Baringo Benjamin Cheboi ametoa wito kwa washikadau wote kuungana kukuza sekta ya utalii katika kaunti hiyo yenye utajiri wa maziwa, samaki, wanyama na milima. Cheboi alisema haya alipozindua makala ya kumi ya mashindano ya boti ya Kaldich katika ziwa Baringo ambalo linakodolewa macho na athari mbaya ya mabadiliko ya hali ya hewa. Labaan Shabaan na taarifa kamili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya