5 Mar 2026 1:38 pm | Citizen TV 193 views Duration: 1:29 Gavana wa kirinyaga Anne Waiguru ameanzisha rasmi mradi wa kuongeza maji eneo la Mwea, hatua inayotarajiwa kuleta nafuu kwa zaidi ya wakulima 30,000.