8 Dec 2025 11:21 am | Citizen TV 372 views Duration: 1:30 Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amezindua ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Tiba Kenya (KMTC) cha kwanza Kirinyaga, karibu na Hospitali ya Rufaa ya Kerugoya.